Hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano Jijini Arusha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 22 Novemba, 2021 amefungua Hoteli ya Gran MeliĆ” yenye hadhi ya Nyota Tano iliyopo Jijini Arusha. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli hiyo, Mhe. Rais Samia amemshukuru Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Hoteli hiyo Bw. Ali Saeed Albwardy kwa uamuzi wake wa kuwekeza